SAFARI YETU LINDI
Mpenzi msomaji wa blog hii nipo safarini Lindi.Nimependa kukushirikisha na wewe katika matukio ya safari yangu na hasa swala la ubovu wa kipande cha Barabara chenye urefu wa km 61 kutoka daraja la Mkapa hadi Somanga.
Hili ndo Basi tulilosafiri nalo kutoka Dar hadi Lindi.
No comments:
Post a Comment