Monday, August 16, 2010

Ukifika eneo hili basi unakaribia kuhitimisha mwendo wa zaidi ya saa 5 za kutembea kwa miguu kutoka kijiji cha Kinusi kilichopo wilaya ya Mpwapwa yanapoishia magari ili kufika kitongoji cha Lengewaha

No comments:

Post a Comment